Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, April 2, 2015

HOT NEWSS::TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAAHIRISHA ZOEZI LA UPIGAJI WA KURA YA MAONI KATIKA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA

Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza kuahirisha zoezi la upigaji wa kura ya maoni katika katiba inayopendekkezwa kuwa haitaweza kufanyika tena april 30 mwaka huu, kama ilivyopangwa na badala yake itatangazwa tarehe nyingine tena ya upigaji wa kura ya maoni juu ya katiba pendekezwa.

 
Mwenyekiti wa Tume ya taifa ya uchaguzi jaji mstaafu Damiani Lubuva amesema kuwa zoezi hilo limesitishwa kutokana na kutokamilika kwa uandikishaji wa wananchi katika daftari la wapiga kura kutokana na changamoto za mashine za BVR.

CHANZO: ITV TANZANIA

No comments:

Post a Comment