PART 1.
Hii ni kwa waTanzania wenzangu, ndugu zangu na fans wote wa
Mabeste!! Watu husema mficha maradhi kifo humuumbua!! Mke wangu anaumwa mda
mref tangia ana ujauzito wa mtoto wetu (kendrick) alikua akisumbuliwa na moyo
unakua unamuuma, pumzi zinabana! Na alikua anazimia zimia mara kwa mara!
Hospital wakasema itakua ni ujauzito unamsumbua!! Na alikua akipimwa pressure
inakua low! Mungu alimlinda akajifungua salama mwez wa 7/2013! Lakini ile hali
ilizidi kuendelea hata baada ya kujifungua!! Anabanwa pumz, nguvu zinamuishia,
moyo unamuenda mbio hata kupelekea kupoteza faham mara kwa mara!! Alikua
sometimes anakaa sawa kwa mda mchache kama three weeks ama two kisha
inajirudia! Hospital wakawa wanampa bed rest na matibabu kiasi!! Mimi ni
mkristo mwenye imani na MUNGU! So nikawa nampeleka hospital na kanisani kufanya
maombi! Tumefanya hivyo kwa mda mrefu! Ilibidi niache kaz zangu kipindi ambacho
nilitoa
(NISHAURI Audio from Am Records) na hata wakat nimepishana na
Management yangu ya zamani (Bhits) hata pale wife alikua mgonjwa na studio
nilikua sijaenda kwa mda wa miezi mitatu! Nilikua home tu nauguza! kabla ya
mapishano kutokea! Na hata ile day nimeenda na wife kwa interview XXL pale pia
wife alikua mgonjwa ila alijikaza tu! So kuumwa kwa wife kumefanya nisimame
hadi kazi zangu! Ndo maana hata baada ya mapishano btn mm na bhits hamkuendelea
kumsikia Mabeste! Niliendelea kuuguza kipindi chote cha 2013 mpaka mwaka jana
mwishoni 2014!! Ambapo wife alipata nafuu kwa kiasi ambacho nilidhani
yamekwisha sasa naeza rudi kazini! January 2015 nikatangaza kurudi rasmi
mzigoni na nikaachia (USIWE BUBU) nilipanga ku fight niachie Usiwe bubu video
February, bahati mbaya hali ya wife ikajirudia na ikawa mbaya zaidi ya
mwanzo...so ikanibid nitangaze tena rasmi kusimama kazi zangu ili fans wangu
msije mkanichukulia vbaya!
PART 2.
Wife wangu kwa sasa ni bado ni mgonjwa sana anahitaji
usimamiz wa karibu zaidi haswa kutoka kwangu! Nimempeleka agha khan
hosp...akafanyiwa vipimo, wakani hamishia muhimbili kwa ajili ya Ct Scan, ili
waangalie kwa ubongo kama una uvimbe au damu imevujia! after CT SCAN ma Dr.
Wame suggest apimwe M.R.I kwa vile ana symptoms zote za mtu anayekaribia kupata
(STROKE) vile vile imegundulika pia psychological ameshakua affected kutokana
na stress za mda mrefu, too much thinking etc. So ameshakua affected hadi
imekuja physically anakua anakakamaa mwili! Kiukweli she went through a very
hard time kwa kuumwa na mawazo zaidi maana tangu amzae mwanetu Kendrick
hajapata malezi ya mama! Vile haezi m take care vizuri wkt yeye anaumwa! Kwa
sasa bado Tunaendelea na vipimo na matibabu mpaka atakapo maliza vipimo na
kupatiwa matibabu! Tatizo nililo nalo!! Nimekaa home mda mrefu sana miaka
miwili na nusu sasa bila kufanya kazi kwa ajili ya kuuguza! Maana hali ya wife
nilikua siwez kumuacha na mschana wa kazi au mdogo wangu ambao naishi nao coz
hawaezi mhandle wife incase lolote likitokea! Na mda wote huo nimekua niko nae
kwa ukaribu sana hata kama natoka issue ya muhim na yy yuko sawa kias basi
atajikaza tuta toka wote! Hiii imepelekea Mabeste kutoskika kimziki! Kusimama
kwa biashara zangu,kumaliza pesa zangu zote Bank!! Maana ilikua pesa zinatumika
bila kuingia! Kwa matibabu na basic needs za daily life! Coz nna wadogo zangu
pia nawalea! Hapa nilipofikia naomba msaada wenu ili niweze kumtibia my wife!
Coz bado anahitaji kuendelea na matibabu na vipimo! Naamini MUNGU mwema
Atamponya lakini kwa sasa Nimekwama kuendeleza matibabu vile for two years na
nusu nilikua natumia pesa tu bila kuingiza! So kwa yeyote atakaye guswa Tgo
pesa 0715032472 jina la usajiri William V. NGOWI
SPECIAL THANKS TO
@nchakalih @vanessamdee @manecky_amrec
@bobmanecky @officialbriantz @likudaz @clowtz @djmafuvu
@adamjuma ( Aj) @adolphghika @castolocavana @kennedyEATV
na kama kuna nilie msahau thanks saaana kwa support yenu
hadi hapa nilipofikia MUNGU AWABARIKI
No comments:
Post a Comment