Bondia ngangari, Wladimir Klitschko ameonyesha licha ya kuwa mbabe lakini ni baba mwemaAmeonyesha nibaba anayejali baada ya kutumia muda wake mwingi akiwa na binti yake wa miezi minne.Klitschko alitumia muda mwingi akiogelea na binti huyo kwa raha mustarehe.
Arusha Yageuza Bodaboda Kuwa Fursa Mpya
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Jiji la Arusha limeanza ukurasa mpya katika sekta ya bodaboda baada ya Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Joseph Modest Mkude, kuzindua m...
11 hours ago








No comments:
Post a Comment