Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, April 7, 2015

PICHA:::BASI LA WACHEZAJI LASHAMBULIWA KWA RISASI



Basi la kilabu ya fenerbahce nchini Uturuki Shrikisho la soka nchini Uturuki lilishtumu shambulio hilo



huku katibu mkuu wa klabu hiyo Mahmut Uslu akisema kuwa kitendo hicho ni cha makosa.
 
''Tulikuja hapa kucheza soka'', alisema Uslu ambaye alikuwa katika basi hilo wakati wa shambulio hilo.

No comments:

Post a Comment