Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, April 7, 2015

TAZAMA PICHA 10 ZA SHOW KALI ALIYOPIGA VANNESA MDEE NCHINI NIGERIA


Jina la staa wa kike anayefanya poa kwenye BONGO FLEVA sasa hivi, Vanessa Mdee aka Vee Money limeendelea kuonekana kwenye HEADLINES za events kubwa mtu wangu.
Jina lake lilipanda juu zaidi na wengi wakamjua nje ya East Africa baada ya kuchukua tuzo ya msanii wa kike East Africa ambayo aliipata mwaka 2014 Nigeria.
Akakaribishwa tena APRIL 2015 kwa ajili ya kuperform na wakali wengine kama akina Iyanya na Burna Boy kwenye stage moja ya Gidi Cultural Festival.
Hapa unaweza kumuona Vee Money  wetu akiwa kwenye stage NIGERIA..
image-06-04-15-12-37-1
image-06-04-15-12-37-2
image-06-04-15-12-37-3
image-06-04-15-12-37-5 

 
image-06-04-15-12-37-6
image-06-04-15-12-37-7
image-06-04-15-12-37-8
image-06-04-15-12-37-9 (1)
image-06-04-15-12-37-9
image-06-04-15-12-37-10
image-06-04-15-12-37-11
image-06-04-15-12-37-16
image-06-04-15-12-37-17
image-06-04-15-12-37-18


No comments:

Post a Comment