Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, April 15, 2015

PICHA:::Watu 9 wamekamatwa Morogoro wakiwa wamejifungia kwenye msikiti na vifaa vya milipuko


Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, akiwaonesha waandishi wa habari ( hawaonekani pichani) milipuko hatari  aina ya ' Water explosives gel ' iliyokamatwa jana usiku kutoka kwa watuhumiwa  tisa waliokuwa wamehifadhiwa ndani ya  msikiti wa  Suni uliopo Tarafa ya Kidatu, wilayani Kilombero mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment