Facebook imeungana na mashirika tisa ya habari duniani kuanzisha huduma
ambayo itawaruhusu kusambaza habari zao moja kwa moja kwenye kurasa za watu za
Facebook kupitia simu zao.
Kushare habari kwenye kurasa za Facebook ni kitu
kinachofahamika lakini huduma hii itafanya kuwa kitu cha haraka zaidi.
kinachofahamika lakini huduma hii itafanya kuwa kitu cha haraka zaidi.
Mashirika
hayo ni pamoja na The New York Times, National Geographic, BuzzFeed, NBC, The
Atlantic, The Guardian, BBC News, Spiegel na Bild.
No comments:
Post a Comment