Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, May 28, 2015

IDADI YA VIFO KUTOKANA NA JOTO NCHINI INDIA IMEFIKIA WATU 800




 Idadi ya vifo kutokana na joto nchini India imefikia watu 800, huku kiwango cha joto katika taifa hilo kikifikia nyuzi joto 50 katika baadhi ya maeneo.
 Vifo vingi vimetokea katika majimbo la kusini la Telangana pamoja na Andhra Pradesh, ambako zaidi ya watu 750 wamekufa tangu wiki iliyopita.
 Watu wengine 24 wamekufa kutokana na joto kali katika maeneo ya West Bengal pamoja na Orissa.




 Hospitali zimetakiwa kuwa katika tahadhari ya kutibu wagonjwa wa moyo na mamlaka zimewataka watu kukaa nyumbani.


No comments:

Post a Comment