Jumatatu ya Leo June 29 2015 ndio itakua siku rasmi kwa video mpya ya ‘Chekecha’ ya Ali Kiba kuanza kuonekana kwenye TV ambapo TV ya kwanza kuplay hiyo video ni TRACE TV, TV ya burudani kutokea Ufaransa ambayo inaongoza kwa kutazamwa Afrika sasa hivi.
Wakati tukisubiria hiyo kesho kuitazama, kuna hizi sekunde 15 kazitanguliza Ali Kiba kutoka kwenye hiyo video.
Wakati tukisubiria hiyo kesho kuitazama, kuna hizi sekunde 15 kazitanguliza Ali Kiba kutoka kwenye hiyo video.
No comments:
Post a Comment