Golikipa wa Manchester City Joe Hart akiwa na mkewake Kimberly Crew
Golikipa wa Manchester City na na timu ya taifa ya England, Joe Hart amefunga ndoa na Kimberly Crew.Sherehe ya wawili hao imefanyika nchini Italia na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali.
Bi. Kimberly akiwa mwenye tabasamu akiwasili tayari kwa kufunga ndoa
Nahodha na mlinzi wa Manchester City Vincent Kompany (kulia) akiwasili kwenye ndoa ya mchezaji mwenzake
Nyota wa zamani wa Man City Adam Jonson akiwasili na mkewe
Wachezaji, ndugu, jamaa na marafiki wakiwasili kwenye eneo husika
Joleon Lescott nyota wa zamani wa Manchester City kwa sasa akikipiga West Brom akiwasili kushirikiana na golikipa wake wa zamani
Wasaidizi wa bibi harusi wakishuka kwenye gari wakiwa wakiwa wameshika maua tayari kuelekea eneo la tukio
No comments:
Post a Comment