Katibu
Mkuu wa Chadema Taifa, Dr. Wilibrod Slaa, akiwasalimia wanachama,
wapenzi, wafuasi na mashabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), baada ya kuwasili katika ofisi za wilaya za chama hicho mjini
Mpanda, mkoani Katavi juzi mchana akiwa katika mwendelezo wa ziara yake
maeneo mbalimbali ya mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi ambako mbali ya
kukagua zoezi la uandikishaji wa wapiga kura amekuwa akihamasisha
wananchi wenye sifa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwa ajili ya
kupiga kura Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu huku pia akikagua
maandalizi ya chama kinavyojipanga kuelekea uchaguzi.
|
Siasa : Waziri Mkuu Mstaafu Aeleza Mambo Matatu Kuimarisha hali ya
Demokrasia Nchini
-
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba akizungumza leo Septemba 19,
2024 wakati kongamano lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)
...
46 minutes ago
No comments:
Post a Comment