
Dk.Shein alikabidhiwa fomu hizo katika Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja Juni 18,2015.
Rais wa Zanzibar anaungana na wanasiasa wengine takribani 37
waliochukua fomu kutoka Tanzania Bara ambao hivisasa wapo katika
mchakato wa kutafuta wadhamini

No comments:
Post a Comment