Gari lililogonga gari la askari likiwa limedondoka.
Dereva alikuwa amelewa akagonga mtu Mbauda, Arusha alipoona amesababisha ajali akaendesha moja kwa moja mpaka Makutano ya Majengo... huku akielekea Kisongo akiwa huku akiwafukuzwa na gari la maaskari, alipofika Burka akagonga tena akagonga pikipiki mbili akapitiliza mpaka maeneo karibu na Sundown Bar, akagonga bump akapoteza muelekeo wakati huo huo gari la maaskari likampita na kusimama katikati ya barabara wakiwa na nia ya kumblock lakini yeye alipowafikia akaligonga gari la Polisi nakuanguka... kwa mwendo wa kupaa... akaumiza maaskari na mmoja wao kakimbizwa hospitali ya Seriani, Arusha.





No comments:
Post a Comment