Miaka minane, na baada ya kucheza kwa mkopo katika timu
sita, Gael Kakuta amekamilisha uhamisho wake kutoka Chelsea kwenda Sevilla ya
Spain. Kakuta kutoka Ufaransa alisaini Chelsea mwaka 2007.
WAHITIMU TaSUBa WAHIMIZWA KUILINDA AMANI YA TANZANIA
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
11 hours ago


No comments:
Post a Comment