Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini
Dar es Salaam jana.
Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es
Salaam kwa mazungumzo jana.
(Picha na Freddy Maro / Ikulu)
No comments:
Post a Comment