Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, June 4, 2015

PICHA ZA KWANZA RAFAEL BENITEZ ALIVYOKUA ANATAMBULISHWA NDANI YA BERNABEU

1
Rafael Benitez ametangazwa  kuwa manager mpya wa Real Madrid. Kama kawaida ya Real Madrid na kocha Benitez ametambulishwa mbele ya mashabiki wa Real Madrid.  Hizi ni picha za kwanza kabisa kutoka Santiago Bernabeu.
7
2



3
5
6

SSS
8
Kocha Rafa Benitez baada ya kutua Real Madrid.
KLABU ya Real Madrid imemthibitisha Kocha Rafa Benitez kuwa meneja wao mpya baada ya kutimuliwa kwa kocha Carlo Ancelotti.
Zinedine Zidane (kushoto), ambaye ni kocha wa timu B ya Madrid akisalimiana na Benitez.
Benitez amesaini mkataba wa miaka mitatu kukinoa kikosi hicho akitokea Napoli inayoshiriki Serie A iliyomaliza ikiwa nafasi ya tano.
Kocha huyo mwenye miaka 55, raia wa Hispania a.
Benitez alianza kazi yake ya ukocha katika klabu hiyo ya Madrid miaka 20 iliyopita.

No comments:

Post a Comment