
July 23 2015 zimebaki saa chache kabla ya kushuhudia Rais Obama akitua Kenya, mambo yanazidi kunoga… yani unaambiwa kila unapokatisha mitaa ya Nairobi lazima utagundua vitu tofauti tofauti hivi vinavyoashiria kuwa kuna ugeni very soon !!
Kila mahali ambapo Obama anaenda huwa ana usafiri wa ndege yake ya Air Force One, na hata gari yake pia ambayo inaitwa ‘Cadillac One, Limo One au The Beast‘

Ndege ya Rais Obama, Air Force One.

The Beast imekutwa kwenye Kituo cha Mafuta Nairobi ikijaza mafuta.
Zimenifikia hizi pichaz zikionesha gari za msafara wa Obama ikiwemo Limo One aka Cardillac One zikikatisha mitaa ya Nairobi.

Mwingine akaiona kwa mbaaali barabarani lakini hakutaka impite hivihivi.

Mwingine akaina kwa dirishani kabisa.


Imeandaliwa na millard ayo

No comments:
Post a Comment