Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, July 24, 2015

Video ya Davido akiongea kuhusu ile beef yake na Diamond Platnumz

Davido ni msanii wa Nigeria ambaye ujazo wa jina lake ulizidi kuongezeka Tanzania baada ya kufanya ‘number one rmx’ na Diamond Platnumz, wawili hawa walitaja kuwa kwenye beef baada ya Davido kuandika sentensi tata baada ya Tanzania kutangazwa mshindi wa shindano la BBA 2014.

No comments:

Post a Comment