Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, August 20, 2015

Ali Kiba ameandika haya kwenye picha hii akiwa na Ne-Yo

Mwimbaji wa Rn'B Ne-Yo ametua nchini Kenya usiku wa kuamkia jana ambapo anatarajiwa kufanya ngoma na wasanii watano kutoka Afrika, Ngoma ya pamoja itakayo washirikisha Ali Kiba, WangechiKenya, Ice Prince, Maurice Kirya na Dama do Bling.Ali Kiba pia alisema kwenye show ya Friday Night Live ndani ya EATV kuwa atafanya ngoma na Ne-Yo, na kupost picha hiyo hapo juu akiandika kuwa juma hili nila mafanikio sana "This week is a great success" Aliandika Ali Kiba.

No comments:

Post a Comment