Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 19, 2015

HUYU NDIYE MUME WA MENINAH ...NI MTOTO WA PROFESA MUHONGO JIONEE PICHA HAPA


Familia ya Profesa Muhongo ikiwa pamoja na familia ya Meninah
Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania mahaba ya mtoto huyo wa Waziri Muhongo, Peter Haule yamemfanya abadili dini na kuwa Abdulkarim Haule ili aweze kumuoa Meninah ambaye ni muislamu.
Wawili hao walifunga ndoa huko Kigamboni wikiendi iliyopita.
Japo hajasema chochote kuhusu ndoa yake zaidi ya picha zinazoashiria ndoa yao, Meninah ameandika kwenye Instagram:
Usichague msichana ambaye ni mzuri duniani, chagua 


 
anayekupa furaha duniani, maisha ni mafupi na huwezi jua kesho kuna nini, fanya mazuri, asante Mungu kwa kila njia ninayopitia, nazidi kukumbuka kwa kubadilisha maisha yangu na kutumaini milele

No comments:

Post a Comment