Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 19, 2015

KAMATI KUU YA ACT YATANGAZA WAGOMBEA UBUNGE ZANZIBAR


Walioteuliwa na kamati kuu ya ACT kugombea Ubunge kwa Zanzibar

MAJIMBO YA TANZANIA ZANZIBAR 

1. Konde Ndugu Masoud Suleiman Bakari

2. Micheweni Ndugu Juma Hamad Juma

3. Tumbe Ndugu Hamad Shehe Tahir

4. Wingwi Ndugu Mbaruok Ali Khamis


5. Gando Ndugu Suleiman Ali Hassan
6. Kojani Ndugu Ali Makame Issa

7. Mtambwe Ndugu Salim Sheha Salim

8. Mgogoni Ndugu Husna Salim Omar

9. Wete Ndugu Hassan Abdalla Omar

10. Chake Ndugu Asha Bakari Mohd

11. Chonga Ndugu Ridhiwan Khamis Nasib

12. Ole Ndugu Ali Salum Humud

13. Wawi Ndugu Jabir Maalim Jabir

14. Ziwani Ndugu Said Ali Said

15. Chambani Ndugu Sharif Bakar Othman

16. Kiwani Ndugu Jaffar Juma Chande

17. Mkoani Ndugu Jabir Said Shoka

18. Mtambile Ndugu Salum Abdulshakur Abdulkarim

19. Chaani Ndugu Salim Ahmada Ali

20. Kijini Ndugu Ali Omar Nahoda

21. Nungwi Ndugu Iddi Msina Lila

22. Kiwengwa Ndugu Ghanima Suleiman Shibu

23. Chwaka Ndugu Privatus Evarist Kagoma

24. Tunguu Ndugu Vuai Abdulkadir Makame

25. Uzini Ndugu Ali Makame Madaha

26. Amani Ndugu Mohd Othman ali

27. Jang'ombe Ndugu Hamad Khamis Hamad

28. Kikwajuni Ndugu Nawiye Abdalla Mussa

29. Kwahani Ndugu Kombo Bakar Kombo

30. Shaurimoyo Ndugu Omar Makame Hamad

31. Magomeni Ndugu Thuwayba Ali Ahmed

32. Malindi Ndugu Suleiman Simai Maalim

33. Mpendae Ndugu Khamis Said Ali

34. Bububu Ndugu Halua Ali Hamad

35. Mfenesini Ndugu Zuhura Bakari Mohd

36. Dimani Ndugu Chum Juma Makame

37. Fuoni Ndugu Mussa Khalfan Mussa

38. K/Samaki Ndugu Yahya Juma Hamad

39. Kijitoupele Ndugu Zaituni Ali Khamis

40. Kwerekwe Ndugu Khamis maulid Suleiman 

NB: MAJIMBO AMBAYO HAYAKUTAJWA MCHAKATO WAKE WA UTEUZI UNAENDELEA

No comments:

Post a Comment