Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 26, 2015

MASABURI ASEMA CHAGUA DOUBLE M

Gari maalum la kampeni za mgombe Ubunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Didas Masaburi likipita eneo la Manzese kuhamasisha wananchi kushiriki mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM, Jangwani juzi.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dk Didas Masaburi akiwapungia mikono wapiga kura wa jimbo lake wakati alipoongoza msafara wa wanaCCM wa jimbo hilo kuelekea viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam kumsikiliza mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli juzi. 

 
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dk Didas Masaburi akiwapungia mikono wapiga kura wa jimbo lake wakati alipoongoza msafara wa wanaCCM wa jimbo hilo kuelekea viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam kumsikiliza mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli juzi.Source: Father Kidevu Blog
 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk Didas Masaburi (katikati) akisalimiana na mgombea ubunge wa chama hicho katika Jimbo la Sengerema, William Ngeleja. Kulia ni Mbunge wa Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji, wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM Jangwani, Dar es Salaam juzi.

No comments:

Post a Comment