Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, August 25, 2015

Nyumba ya mugizaji Batuli yateketea kwa moto na vitu vyote vilivyokuemo

Nyumba ya muigizaji wa kike, Batuli imeungua na moto siku ya jana, bado haijajulikana chanzo lakini hakuna aliyeumia lakini nyumba imeungua na vitu vyote vilivyokuemo kwenye nyumba hiyo japo bado haijajulikana thamani yake. batuli 2
Wema sepetu alituma mtandao wa Instagram kumpa pole rafiki yake

No comments:

Post a Comment