Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 19, 2015

RAIS KIKWETE NA WAZIRI MAGUFULI KATIKA MAZISHI YA DIWANI WA KATA YA YOMBO, BAGAMOYO


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini huku Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akisubiri zamu yake wakati wa mazishi ya Marehemu Iddi Ubwa Mazongera
aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani aliyefariki juzi na kuzikwa jana kwenye makaburi ya Kichangani, Bagamoyo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli wakimfariji mjane wa Marehemu Iddi Ubwa Mazongera aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo 


Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani aliyefariki jana na kuzikwa leo kwenye makaburi ya Kichangani, Bagamoyo. Katikati ni Mama Salma Kikwete

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment