Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, August 14, 2015

TAASISI YA TANZANIA BORA INITIATIVE YAFANYA KONGAMANO LA VIJANA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania,  Mark Childress akizungumza katika Kongamano hilo lililohusu Ndoto Kubwa ya vijana kabla ya uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi lililofanyika jana Hoteli ya New Afrika jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi kutoka Taasisi ya Ekihya, Lillian Secelela akiongoza kongamano hilo.
Mtaalamu wa masuala ya vijana, Humphrey Polepole, akizungumza katika kongamano hilo. Polepole alikuwa mmoja wa wageni kwenye kongamano hilo  na alichangia mada kadhaa sanjari 

 
na wenzane watatu, ambao ni Modesta Mbughuni, Nick Two, Emelda Mwamanga na Chikulupi Kisaka.
Modesta Mbughuni akichangia mada katikaaaaa kongamano hilo.
Chikulupi Kisaka akichangia mada kwenye kongamano hilo.
Wageni mbalimbali wakiwa kwenye kongamano hilo. Wa tatu kulia ni Balozi wa Marekani Nchini Tanzania,  Mark Childress 
Emelda Mwamanga akichangia mambo mbalimbali kwenye kongamano hilo.
Wasanii wakitoa burudani katika kongamano hilo.
Wadau mbalimbali wakiwa kwenye kongamano hilo.
Kongamano likiendelea.
Wadau wakiwa kwenye kongamano hilo lililofanyika New Afrika Hotel Dar es Salaam jana.
Mwanaharakati Maria Sarungi akichangia jambo kwenye kongamano hilo.
Mwanasheria Onesmo Olengurumwa akichangia jambo katika kongamano hilo.
Bloger William Malecela 'Limtuz' akichangia jambo.
Mpambanaji Rose Ndauka akichangia jambo.
Mwenyekiti wa Asasi isiyo ya kiserikali ya Tanzania Peoples D'sasitees Organization (TAPWIDO), Michel Mwanzalima akichangia jambo kuhusu watu wenye ulemavu ushirikishwaji wao katika uchaguzi.
Mtaalamu wa masuala ya kijamii, Khalila Mbowe akichangia jambo kwenye kongamano hilo.
Mmoja wa maofisa wa Taasisi ya Tanzania Bora Initiative, Geofrey Nyombi akitoa ufafanuzi wa masuala kadhaa kuhusu kongamano hilo.
(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)

No comments:

Post a Comment