Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, August 3, 2015

TAZAMA PICHA ZA WAYNE ROONEY ALIPOKUWA MTOTO


Wayne Rooney enzi za utoto wake 
Wayne Rooney ni mchezaji wa Manchester United mwenye heshima kubwa kwenye klabu yake, taifa lake na dunia kwa ujumla kutokana na uwezo wake mkubwa awapo uwanjani.


Kutoka kushoto: John Rooney (7), Graeme Rooney (10) na Wayne Rooney (12)
Leo nimekuwekea picha kadhaa za Rooney wakati akiwa mdogo, kumbe huyu jamaa na yeye ni kama wachezaji wengine wenye majina makubwa duniani, alianza kucheza mpira akiwa na umri mdogo sana na kitu cha kufurahisha ni kwamba wadogozake pia walikuwa wanacheza mpira japo hawakufanikiwa kuvuma duniani kama yeye.


Wayne Rooney wakati akiwa na umri wa miaka 10
 



Duncan Ferguson akimkabidhi Wayne Rooney kitambaa cha unahodha wakati anatoka nje ya uwanja

No comments:

Post a Comment