Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 15, 2015

DJ FETTY AACHA KAZI RASMI CLOUDS FM,SOMA ALICHOSEMA HAPA

 Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds FM,Fatma Hassan ‘Dj Fetty’ leo amewaaga rasmi wasikilizaji na wafanyakazi wenzake na kuachana na kazi ya utangazaji na kufanya  shughuli zake za kibiashara.
 Watangazaji wa XXL B12,Adam Mchomvu,Dj Zero na Kenned ambaye amejiunga kwenye familia ya XXL na Clouds FM na amechukua nafasi ya Dj Fetty.
 Kenned The Remmedy’ ambaye amejiunga na familia ya XXL akiwa na Adam Mchomvu.
 Dj Fetty akiwa mwenye masikitiko




No comments:

Post a Comment