Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 2, 2015

Mtandao wa WhatsApp waboreshwa na mapya kuwekwa,Emoji ya kidole cha kati yazungumziwa zaidi


whatsapp
Mtandao wa sauti na sms wa WhatsApp umeboresha option zake kwa watumiaji wa simu za Android. Kwenye hii version mpya ya 2.12.250 mtumiaji wa WhatsApp kutengeneza na kuamua notification zake zije vipi, kwa makundi, mtu mmoja, na zije kwa sound , vibration au popup notificaion.
Pai kuna Notification light na call notification tone.Pia unaweza kusoma ujumbe na kufanya uonekane kama haujasomwa. Emoji mpya ya ‘Kidole cha kati’ imeongezwa.
Whatsapp2 Whatsapp3

No comments:

Post a Comment