Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 2, 2015

Picha,Kuhusu ajali aliyopata Peter wa P Square na meneja wao msaidizi


Peter
Kupitia instagram yake Peter wa P Square ameandika ujumbe kwa mashabiki wake kuhusu ajali hii nakusema “tulikuwa na meneja msaidizi wa P Square, Kaffy na Joseph Ameh tukitoka kwenye show , tulikuwa kwenye barabara ya Lagos Ibadan Expressway, lorry kubwa limegonga gari yetu na kutusukuma kwa sekunde kama 12 ila tumetoka salama, tuna mshukuru Mungu tumepona“.
square 

 
 square.JPG 3

No comments:

Post a Comment