Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 16, 2015

PROFESSOR LLOYD BINAGI AWASILI NCHINI TANZANIA SALAMA.

Hapa ni Tarime Mkoani Mara ambako ni nyumbani kwa Professor Lloyd Binagi (Manamba) aliewasili nchini hivi karibuni baada ya kustaafu. Kwa muda mrefu Professor Binagi alikuwa akifanya kazi nchini Marekani.
Na:Binagi Media Group
Familia ya Binagi pamoja na Uongozi wa Binagi Media Group unakukaribisha nyumbani Tanzania.
Kulia ni Professor Lloyd Binagi, Katikati ni Mkewe Luizer Binagi na kushoto ni rafiki wa Professor Binagi aitwae Mzee Sabhanganga.
 
Professor Binagi (Kulia) akiwa pamoja na rafiki yake Mzee Sabhaganga (Kushoto).



No comments:

Post a Comment