Kituo cha Michezo kwa vija na cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam kinavyoonekana kutoka angani.
Rais Jakaya Mrisho kikwete
akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul
Hicks wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa
kituo cha kisasa cha Michezo kwa
vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam Septemba 16, 2015.
Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza
na kampuni ya symbion
Rais Jakaya Mrisho kikwete
akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul
Hicks kwa mmoja wa wasimamizi wa mradi huo wakati akikagua maendeleo ya
ujenzi wa
kituo cha kisasa cha Michezo kwa
vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam Septemba 16, 2015.
Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza
na kampuni ya symbion
Rais Jakaya Mrisho kikwete
akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul
Hicks kwa kocha wa vijana wa kandanda mwenye
kutambulika na FIFA kutoka
Uingereza wa mradi huo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha
kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es
salaam
Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion.
No comments:
Post a Comment