Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, October 4, 2015

HOT NEWSSSS:::KINGUNGE AJITOA CCM HABARI KAMILI HII HAPA


 Mwanasiasa mkongwe Kingunge leo ameongea na wanahabari na kutangaza kujitoa Chama Cha Mapinduzi Hay ni baadhi ya aliyosema
"..Mimi kuanzia sasa najitoa Chama cha Mapinduzi, najua uamuzi wangu utawasumbua baadhi ya marafiki zangu, makada wenzangu, wazee wenzangu hata vijana wengi lakini 


uamuzi ambao lazima niufanye kwa sababu vinginevyo Mimi nitajisaliti mwenyewe....

 Pili sikusudii kujiunga na chama chochote.." #Kingunge October 4, 2015., 3:33 PM - Nyumbani kwake DSM
picha na Stanslaus Lambart

No comments:

Post a Comment