Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 19, 2015

MAHAFALI YA 14 YA KIDATO CHA NNE MKOLANI SEKONDARI JIJINI MWANZA YAFANA

Mkuu wa Shule ya Sekondari Mkolani iliyopo Jijini Mwanza Mwl.Asensio Mathias (Mwenye Kinasa Sauti) akizungumza katika Mahafali ya 14 ya Kidato cha Nne katika shule hiyo yaliyofantika  Octoba16,2015 katika Ukumbi wa Shule hiyo.
Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 14 ya kidato cha Nne Mkolani Sekondari ya Jijini Mwanza Ndg.Bituro Kazeri (Wa tatu kila upande) ambae ni Afisa Habari wa Taasisi ya Sayansi ya Jamii TASAJA akijiandaa kuwakabidhi vyeti wahitimu wa shule hiyo katika Mahafali yaliyofanyika jana shuleni hapo
Wahitimu wa Kidato cha Nne wakipokea Vyeti katika Mahafali ya 14 ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Mkolani iliyopo Jijini Mwanza yaliyofanyika jana shuleni hapo

Wahitimu wa Kidato cha Nne wakipokea Vyeti katika Mahafali ya 14 ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Mkolani iliyopo Jijini Mwanza yaliyofanyika jana shuleni hapo
Meza Kuu
Mahafali ya 14 ya kidato cha nne Mkolani Sekondari Jijini Mwanza
Wazazi/Walezi
Wazazi/Walezi
Wazazi/Walezi
Wazazi/Walezi
Mwonekano ndani ya Ukumbi
Wahitimu katika Ubora wao
Mshereheshaji Mwl.Isaack Wakuganda
Ukumbini
Ukumbini
Kumbukumbu
Vijana katika ubora wao
Binagi Media Group, Kwa Pamoja Tuijuze Jamii

No comments:

Post a Comment