Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 19, 2015

DKT. SHEIN AENDELEA KUUNGURUMA MKUTANO WA CCM JIMBO LA MPENDAE UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanaCCM na Wananchi wa Jimbo la Mpendae katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika  katika uwanja wa Binti Amran Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

No comments:

Post a Comment