Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, November 11, 2015

[AUDIO]: Kipindi cha Jukwaa Langu Nov 9 2015 (Full show)‏

Katika kipindi cha JUKWAA LANGU tulipata fursa kumhoji aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Mbarali kupitia CHADEMA Liberatus Mwang'ombe.
Pia, tuliangalia (mbali na mambo mengine), mwanzo wa awamu ya tano ya utawala wa Tanzania, na matarajio ya wengine.
Tunaizungumzia TANZANIA ya sasa na ile ijayo....hasa tutakayo.

 
Tuambie.......
1: Je! Ni lipi unalokumbuka zaidi kuhusu uongozi wa Rais Jakaya Kikwete?
2: Unazungumziaje namna Rais Magufuli alivyoanza wiki ya kwanza ofisini?
Na ninj ungependa viwe vipaumbele kwa uongozi huu??
3: Una matumaini na matarajio gani na bunge la 11 litakalosimikwa rasmi hivi karibuni?

No comments:

Post a Comment