| Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za ridhaa nchini BFT Wililo Lukelo akitoa salam za lambilambi kutoka kwa wadau wa mchezo wa masumbwi mbalimbali nchini wakati wa mazishi ya bondia Michael Yombayomba yaliyofanyika Kibaha mkoa wa Pwani jana Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| WAOMBELEZAJI WAKIPELEKA JENEZA LA Marehemu kwenda kuzika |
| Mtoto wa marehemi Michael Yombayomba Zakaria Yombayomba akiwasha mshumaa katika kaburi la baBA YAKE JANA |

No comments:
Post a Comment