Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, November 6, 2015

DK JOHN POMBE MAGUFULI KWA MARA YA KWANZA KWENYE MSAFARA KAMA RAIS WA TANZANIA
Mara baada ya Kumaliza shughuli za Kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Tano Dk John Pombe Magufuli aliingia Uwanjani kama Waziri wa Ujenzi na Kutoka na Msafara Kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mara baada ya Rais wa awamu ya nne kumkabidhi wadhifahuo katika uwanja wa zamani wa Taifa jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment