Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, November 19, 2015

EXCLUSIVEEE.....HIKI NDIO KIONJO CHA VIDEO MPYA YA DIAMOND NA TECNO WA NIGERIA


Kupitia Post aliyoiweka Instagram, Diamond ameandikaMuimbaji wa ‘Duro’ Tekno ameingia studio na Mshindi wa Tuzo tatu za AFRIMA, Diamond Platnumz kurekodi wimbo mpya ambao utatoka wiki ijayo.
“Forget About DURO… we are about to Bang! on this New jam from my Since day one Hommie@teknoofficial …… Drops Next Week!!!! Let’s Support him #LagosDiamond yupo Nigeria kwa ajili ya Tuzo za Afrima ambazo tayari zimeshafanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.

No comments:

Post a Comment