Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, November 25, 2015

PICHA ZA MISS TANZANIA AKIWA CHINA KWENYE MASHINDANO YA MISS WORLD

Safari ya Miss Tanzania kusogelea headlines za fainali za Miss World 2015 imesogea hatua moja mbele ambapo mrembo wetu, Lilian Deus Kamazima tayari katua China kuungana na warembo wengine zaidi ya 100 toka nchi mbalimbali kushiriki kwenye fainali yenyewe
Kama hujajua basi naomba nikuweke karibu na ratiba yenyewe mtu wangu, ni kwamba Lilian aliondoka TZ November 19 2015 kuelekea Sanya China ambapo watakaa kambi kwa muda wa kama wiki nne hivi.
Lilian II
Fainali ya Miss World itakuwa December 19 2015 hukohuko Sanya China, hapa nimezipata pichaz za warembo wote 20 wanaowakilisha nchi mbalimbali za Afrika kwenye fainali za Miss World 2015.

 
Lilian Kamazima, mwakilishi wetu Tanzania kwenye Miss World 2015. (Umri- 19)
Lilian Kamazima, mwakilishi wetu Tanzania kwenye Miss World 2015. (Umri- 19)
Botwsana
Mrembo kutoka Botswana, anaitwa Seneo Bambino Mabangano (Umri- 19)
Cote-DIvoire-2-450x600
Anaitwa Andrea N’Guessan Kakou, mrembo kutoka Ivory Coast (Umri- 23)
Ethiopia-2-600x399
Jina lake ni Kisanet Teklehaimanot, mrembo kutoka Ethiopia (Umri- 21)
Gabon-1-600x238
Anaitwa Reine Ngotala Obiang, umri wake ni miaka 18, ni mrembo anayewakilishaGabon.
Guinea-1
Mrembo wa Guinea, jina lake ni Mama Aissata Diallo (Umri 19)
guineab2
Mrembo mwingine kutoka Guinea-Bissau, anaitwa Laila Elewar Da Costa (Umri- 18)
Jessica Ngoua Nseme
Jessica Ngoua Nseme, yeye ni mwakilishi wa Cameroon kwenye Miss World 2015. (Umri- 25)
Kenya
Mrembo wa Kenya, anaitwa Charity Njeri Mwangi.. (Umri- 23)
Lesotho-2
Huyu anatoka Lesotho, anaitwa Relebohile Mamaphathe Kobeli.. (Umri- 19)
Mauritius-2-600x401
Mrembo wa MauritiusAureilla Begue… (Umri- 21)
Namibia-1
Kutoka Namibia, huyu ni Steffi Van Wyk.. (Umri- 24)
Nigeria-2
Mrembo mwenye umri wa miaka 21 kutoka Nigeria, anaitwa Unoaku Anyadike
Seychelles
Linne Freminot kutoka Seychelles.. (Umri- 22)
South-Africa-2
Mrembo wa South Africa, Liesl Laurie (Umri- 24)
South-Sudan-2-600x401
Ajah Deng kutoka South Sudan (Umri- 22)
Uganda-1
Miss UgandaZahara Nakiyaga (Umri- 23)
Zambia-1
Miss ZambiaMichelo Malambo (Umri- 24)
Zimbabwe-1
Mrembo anayewakilisha Zimbabwe, Annie-Grace Farayi Mutambu (Umri- 19)
Mwaka 2014 mrembo wa South Africa, aliibuka na ushindi wa Miss World, 2015 je? Yupi kakuvutia kati ya hao mtu wangu na unaona anafaa kuvaa Taji hilo?
Rolene Strauss
Rolene StraussMiss World 2014

No comments:

Post a Comment