Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, November 27, 2015

RAIS DKT MAGUFULI ATINGA OFISINI KWA WAZIRI MKUU MAJALIWA

 Rais  Dkt.John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe.  Majaliwa Kassim Majaliwa  wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam  Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja.
 Rais John Pombe Joseph Magufuli akitia saini  kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam  Novemba 26, 2015  na kuzungumza nae kwa takribani saa moja

 
Rais John Pombe Joseph Magufuli akiagana  na Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa  wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment