Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, November 27, 2015

RAIS WA ZANZIBAR AKABIDHIWA TUZO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Tunzo ya dhahabu iliyopewa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kutoka kwa Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana na Watoto Bibi Zainab Omar Mohamed (Gold Future Policy Award ) kwa mwaka 2015) ambayo imetolewa na Taasisi ya kimataifa ya World Future Council katika Mji wa Geneva Uswizi tarehe 20 Oktoba, 2015 baada ya Sheria ya Watoto ya Zanzibar ya Mwaka 2011 kuzishinda sheria za Nchi nyingine zaidi ya 20 kwa kukidhi vigezo vilivyoshindaniwa,hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika leo Mjini Unguja. [Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiiangalia Tunzo ya dhahabu iliyopewa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana na Watoto Bibi Zainab Omar Mohamed (Gold Future Policy Award) kwa mwaka 2015) ambayo 

 
imetolewa na Taasisi ya kimataifa ya World Future Council katika Mji wa Geneva Uswizi tarehe 20 Oktoba, 2015 baada ya Sheria ya Watoto ya Zanzibar ya Mwaka 2011 kuzishinda sheria za Nchi nyingine zaidi ya 20 kwa kukidhi vigezo vilivyoshindaniwa, hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika leo Mjini Unguja.

No comments:

Post a Comment