Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 23, 2015

TAZAMA PICHA WANACHAMA WA CHADEMA WAFURIKA MAHAKAMA KUU MWANZA KUSIKILZA KESI YA MAWAZOWanachama wa CHADEMA jijini Mwanza waliofurika kuja kusikiliza hukumu juu ya kesi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo aliyeuwawa kikatili kwa kukatwakatwa na mapanga, Huku jeshi la polisi Mkoa wa Mwanza kuzuia mwili wa marehemu kuagwa hapa mwanza kwa kisingizio cha kusema wanazuia mikusanyiko kutokana na hali ya ugonjwa wamlipuko wa kipindupindi iliyopo jijini hapa.CHADEMA ikiungana na familia ya marehemu ilifikia uamuzi wa kulifikisha swala hilo Mahakamani ili kupatiwa ufumbuzi juu ya maamuzi hayo ya jeshi la polisi. Kesi ambayo iliyowasilishwa leo kwa hati ya dharura katika Mahaka kuu ya jijini Mwanza

No comments:

Post a Comment