Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, November 5, 2015

TAZAMA PICHA ZA SIKU YA MWISHO YA RAIS KIKWETE IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya kazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam kwa mara ya mwisho jana Novemba 4, 2015 kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais wa awamu ya Tano anayetarajiwa kuapishwa kesho Dkt John Pombe Joseph Maguful.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoka ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kufanya kazi katika siku ya mwisho jana Novemba 4, 2015 kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais wa awamu ya Tano anayetarajiwa kuapishwa leo Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

No comments:

Post a Comment