Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 23, 2015

TAZAMA VIDEO YA BINTI KIPOFU PIA KIZIWI KUTOKA ERITREA ALIYEHITIMU CHUO KIKUU CHA HARVARD


HABEN Girma ni mwanafunzi wa kwanza asiyeweza kuona au kuisikia, kuhitimu kutoka chuo kikuu cha Harvard. Ana lengo kubwa katika maisha. Alizaliwa Carlifornia baada ya mama yake kukimbia kutoka Eritrea miaka ya 80, na kwenda Marekani kama mkimbizi.
Alifaidika kutokana na sheria ya mfumo wa elimu nchini Marekani inayowapa haki walemavu, jambo ambalo kaka 

 
yake ambaye pia haoni alinyimwa nchini kwao Eritrea. Sasa hivi ni mwanasheria anayejitahidi kuimarisha upatikanaji wa teknoljia kwa watu wasioweza kuona au kusikia.

No comments:

Post a Comment