Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 3, 2015

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA

Msajili wa vyama vya siasa nchini,Jaji Mstaafu ,Francis Mtungi akiarisha mkutano wa vyama vya siasa ulioandaliwa kwa ajili ya kumuaga Rais Dk.Jakaya Kikkwete jana jijini Dar es Salaam.

.Mchambuzi wa wa Masuala ya Siasa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Dk.Benson Bana akizungumza na waandishi wa habari juu hali ya siasa nchini katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Mgombea Urais wa TLP,Maxmillian Lymo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula( Kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Labour Patry (TLP), Agustino Lyatonga Mrema  (kulia ) na katikati Mgombea Urais, Maxmillian Lymo  jijini Dar es Salaam.

 
Mwenyekiti  Taifa  wa chama cha  (AFD)  Said Soud Said akifafanua jambo kwa wandishi wa habari  jijini Dar es Salaam.
Picha na Emmanuel Massaka wa Globu  ya Jamii

No comments:

Post a Comment