Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 14, 2015

Dj Bon Love alivyokonga nyoyo za mashabiki wa burudani katika usiku wa Heart & Soul

Mkali wa magoma hapa nchini na nje, Dj Bon Love akifanya yake katika Usiku wa Heart & Soul uliofanyika  kwenye kiota kinachobamba zaidi hapa mjini cha Raphsody, ndani ya Jengo la Viva Towers katikati ya Jiji la Dar. Dj Bon Love na maDJ wengine wakali hukutana pamoja kwenye kiota hicho ili kukonga nyoyo za wapenda Burudani kutoka maeneo mbalimbali.Usiku huo uliwezeswa kwa Udhanimi Mkubwa wa Kilaji ya Heineken.
Baadhi ya Wadua wa Burudani wakiwepo DJ. Venture na Mwanalibeneke Haki Ngowi wakiwakilisha katika Usiku wa Heart & Soul.
 
Mmoja wa maDJ wanaopiga katika Usiku wa Heart & Soul akifanya mambo yake.

 
Furaha pindi wadau wanapokutana.
 Mdau Othman Michuzi (kulia) na marafiki wengine nao hawakutaka kukutukipwa ya Usiku wa Heart & Soul ndani ya kiota pendwa cha Raphsody, Jengo la Viva Towers katikati ya Jiji la Dar.

No comments:

Post a Comment