Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, December 3, 2015

GWIJI WA MUSIKI TANZANIA KASONGO MPINDA KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTUMwimbaji mkongwe wa muziki wa dansi Kasongo Mpinda aliyefariki jana jioni, atazikwa leo saa 10 jijini Dar es Salaam. Kasongo Mpinda atazikwa makaburi ya Kisutu kwa taratibu zote za Kiislam. Mtoto wa kiume wa marehemu Kasongo, Kiloman amesema kuwa taratibu za mazishi zitaanzia 
 
nyumbani Kinondoni jirani na Demage Hotel kuanzia asubuhi hadi muda wa kuupeleka mwili wa baba yao kwenda kuzika makaburi ya Kisutu.

No comments:

Post a Comment