Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, December 23, 2015

MHE. JENISTA: WANAOISHI KWENYE MAENEO HATARISHI WANATAKIWA KUHAMA MARA MOJA

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, Kazi na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akitoa maagizo ya utekelezaji kwa Kamati za maafa katika ngazi zote nchini kuhusu tahadhari ya uwezekano wa kuwepo kwa mvua za El- Nino tarehe 22 Desemba,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)

No comments:

Post a Comment