Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 28, 2015

PICHA 3:::::MSAFARA WA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF SOSPETER MUHONGO WAPATA AJALI KAGERA

AJALI: Msafara wa Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo umepata ajali baada ya magari mawili kuacha njia katika Kijiji cha Kagorogoro Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera.


Hata hivyo hakuna majeruhi waliothibitishwa mpaka sasa na msafara huo ulikuwa unatoka mpaka wa Murongo karibu na nchi jirani ya Uganda.

No comments:

Post a Comment