Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 28, 2015

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA::::MAJAMBAZI WAMUUA MFANYAKAZI WA ZANTEL MAENEO YA MIKOCHENI


Majambazi wamempiga Risasi Mfanyakazi wa ZANTEL ambaye ni Head of customer care services alikuwa anatoka bank kuchukua pesa ndipo akavamiwa


 na majambazi hao maeneo ya mikocheni njia panda ya coka.Taarifa zaidi zitakujia

No comments:

Post a Comment